Nandy’s Thamani Lyrics

MusicNandy’s Thamani Lyrics

Thamani na sura yako
Ndo inafanya ujidai
Usiringe alokupa naye
Iko siku atakuja kudai

Sina thamani mi hunukia ya zamani
Kisa umemuona kishkumbi
Umenikana kuwa rafiki hadharani
Kweli penzi chachu tena silambi

Eeh bora ungekuwa wazi kuwa hunitaki 
Ningemiliki kuwa lonely
Kuliko penzi kuwa chachu
Ya maisha yangu furaha usiione

Eeh mwana wa mwenzio
Mwana christina 
Maisha yangu kuishi na kinyonge
Zinasema ‘Hi’

Ukiniacha nitakufa mazima
Sio sawale, sio sawale
Ukiniacha nitakufa mazima
Itakuwa hatare, itakuwa hatare

Ukiniacha nitakufa mazima
Sio sawale, sio sawale
Ukiniacha nitakufa mazima
Itakuwa hatare, itakuwa hatare….