Size 8 Reborn’s Nitembee na wewe Lyrics

MusicSize 8 Reborn’s Nitembee na wewe Lyrics

Niwe na pesa na mali ya kifahari magari
Bila wewe, kila kitu ni bure
Nijulikane mtaani toka Nairobi hadi Pwani
Bila wewe, kila kitu ni bure

Wewe na mimi tuwe kitu kimoja (Ooh wee oooh)
Wewe na mimi far, tutembee pamoja 
Wewe na mimi tuwe kitu kimoja(ooh wee oooh)
Wewe na mimi far, zaidi ya yote

Nitembee na wewe, 
Nitembee na wewe, 
Nitembee na weweee…
Kila siku ya maisha yangu

Nitembee na wewe, 
Nitembee na wewe, 
Nitembee na weweee…

Sina budi kukuita Daddy, sina budi kukuita 
Popote napo endaga, chochote nacho tendaga
Unatenda nami (Nami), uwepo wako me napendaga
Unaenda nami (Nami), nami oooh 

Wewe na mimi tuwe kitu kimoja (Ooh wee oooh)
Wewe na mimi far, tutembee pamoja 
Wewe na mimi tuwe kitu kimoja (Ooh wee oooh)
Wewe na mimi far, zaidi ya yote

Nitembee na wewe, 
Nitembee na wewe, 
Nitembee na weweee…
Kila siku ya maisha yangu

Nitembee na wewe, 
Nitembee na wewe, 
Nitembee na weweee…

What does it profit a man to gain the whole world
But loose his soul

Give your life to Jesus, bila Yesu haiwezi